dashboard
Serie
Our Ancestories (Swahili)
|
Zaidi ya miaka 4,000 iliyopita, kule Misri ya kale, mvulana mdogo anayeitwa Imhotep alizaliwa. Tangu akiwa na umri mdogo, alifaulu na kwa haraka akatimiza unabii
Imhotep alikuwa na uwezo wa kuona kupitia matatizo magumu na mara nyingi alikuwa akijaribu mbinu na majaribio mapya. Alikuwa na talanta nyingi, na kama mbunifu, Imhotep alitengeneza piramidi yenye hatua huko Sakkara - moja ya miundo ya ajabu kwenye historia ya kale. Bado piramidi yenye hatua ipo imara mpaka leo.
Kwenye kurasa za kitabu hiki, utagundua Misri anayoifahamu Imhotep, anapokua kutoka kijana mdadisi na kuwa mmoja wa wanaume waliofanikiwa zaidi, werevu na wanaojulikana sana kule Misri ya kale.
Título : Imhotep wa Kemet ya Kale
EAN : 9781998041435
Editorial : Our Ancestories
Edad, de : 6 años
El libro electrónico Imhotep wa Kemet ya Kale está en formato ePub
¿Quieres leer en un eReader de otra marca? Sigue nuestra guía.
Puede que no esté disponible para la venta en tu país, sino sólo para la venta desde una cuenta en Francia.
Si la redirección no se produce automáticamente, haz clic en este enlace.
Conectarme
Mi cuenta