Ver todos los libros de Hassan Mambosasa

Hassan Mambosasa - Libros y biografía

  Hassan Mambosasa ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga nchini Tanzania, elimu yake ameipata kwenye shule mbalimbali za sekondari. Ikiwemo Jitegemee JKT, Wailes, Ubungo islamic, victory na kuja kuhitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Tambaza. 

   Elimu ya juu aliipata  chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine (SUA), amesomea masuala ya TEHAMA akishughulika zaidi kwenye vifaa vya kompyuta. 

   Alianza uandishi mnamo mwaka 2006 hadi hii leo ameandika  hadithi zaidi ya 40 katika mfumo wa vitabu vya mtandaoni. 

NSUNGI

Más leídos del autor

Jumba Bovu

Jumba Bovu

Publicado el 6 de octubre de 2024
2,99 €
IVA incluido
   Baada ya kuondolewa kwenye kesi aliyoisimamia kwa moyo mmoja. Ikiwa imebaki hatua ya mwisho kuelekea ushindi. Aliishia kulazimishwa apokee hundi ya milioni kumi. Ila aligoma na kuishia kuacha kazi moja, akiapa angeendelea na upelelezi kwa kutumia ujuzi wa sheria.  Asijue wabaya... Más información

Todos los ebooks del autor

Pantalla :

Ordenar por :